Salasala, Dar es salaam info@sokohost.co.tz
Follow us:

Karibu Sokohost

Sokohost tunatoa huduma ya kukunulia bidhaa za jikoni zilizo bora kabisa na kukuletea hadi mlangoni kwako, tunatambua ugumu wa kwenda sokoni mara kwa mara kutafuta bidhaa bora, lakini kupata zilizokuwa fresh, usijali tena kuhusu hilo tupo hapa kuhakikisha unapata kilicho bora na kukuletea hadi mlangoni kwako kwa gharama nafuu kabisa.

Nia na malengo yetu ni kushiriki katika hatua za kuboresha afya kupitia vyakula,ndio maana pamoja na huduma hiyo ya kununua na kupeleka bidhaa nyumbani pia tunazo huduma nyingine bora kwa ajili ya kuimarisha afya ya mlaji.

Kutengenezewa mpango wa chakula ( Diet)

Kuandaa mboga

Mpishi wa kukodi

Mafunzo ya jinsi ya kupika

Wateja Maalum

Tunatoa huduma kwa wateja maalum wenye uhitaji ama changamoto ya afya kwa kuwatengenezea mpango wa chakula (diet) kulingana na uhitaji, kwa ngazi ya familia na mtu binafsi, diet kwa ajili ya watoto, kupunguza/kuongeza uzito, wazee, magonjwa ( kisukari, moyo,mifupa) tunakutengenezea mpango, tunanunua kisha tunaleta hadi mlangoni kwako, kuipata huduma hii bonyeza >>>>.

Kwanini sisi

Zipo sababu nyingi za kutuchagua hapa chini ni chache kati ya nyingi.