Salasala,Dar es salaam info@sokohost.co.tz
Follow us:

Karibu Sokohost

Sokohost tunatoa huduma ya kukununulia bidhaa za jikoni zilizo bora kabisa na kukuletea hadi mlangoni kwako, tunatambua ugumu wa kwenda sokoni mara kwa mara kutafuta bidhaa bora, lakini kupata zilizokuwa fresh, usijali tena kuhusu hilo tupo hapa kuhakikisha unapata kilicho bora na kukuletea hadi mlangoni kwako kwa gharama nafuu kabisa, wewe ni mteja wetu ikiwa:-

Unahitaji bidhaa bora na fresh kutoka sokoni

Unahitaji kuboresha afya yako kwa bidhaa halisi

Hauna muda wa kutosha kwenda sokoni kila mara

Soma zaidi

Makundi ya bidhaa zetu

Tunao watoa huduma makini kabisa wanaoleta bidhaa zikiwa bora na fresh, haya ni makundi ya bidhaa tulizo nazo.

Samaki

Tunao samaki wa maji baridi, chumvi na kutoka kigoma, pamoja na hao zipo dagaa na Vibambala n.k

Soma zaidi

Nyama

Tunazo nyama aina zote, nyama za kuku ( kienyeji na kisasa) ng'ombe, iliyosagwa, soseji n.k.

Soma zaidi

Nafaka

Tunao unga wa sembe,dona,basmat,lishe, mchele n.k

Soma zaidi

Mbogamboga

Tunazo mbogamboga za aina zote Spinachi, mchicha,Brokoli n.k

Soma zaidi

Matunda

Tunao watoa huduma wenye kuleta matunda ya msimu na yasiyokuwa ya msimu yenye ubora na afya kwa ajili yako.

Soma zaidi

Mahitaji mengine

Mahitaji mengine ya jikoni,mafuta,viungo,mayai,n.k

Soma zaidi

Wateja Maalum

Tunatoa huduma kwa wateja maalum wenye uhitaji ama changamoto ya afya kwa kuwatengenezea mpango wa chakula (diet) kulingana na uhitaji, kwa ngazi ya familia na mtu binafsi, diet kwa ajili ya watoto, kupunguza/kuongeza uzito, wazee, magonjwa ( kisukari, moyo,mifupa) tunakutengenezea mpango, tunanunua kisha tunaleta hadi mlangoni kwako, kuipata huduma hii bonyeza >>>>.

Kwanini sisi

Zipo sababu nyingi za kutuchagua hapa chini ni chache kati ya nyingi.