Wateja Maalum
Tunatoa huduma kwa wateja maalum wenye uhitaji ama changamoto ya afya kwa kuwatengenezea mpango wa chakule (diet) kulingana na uhitaji, kwa ngazi ya familia na mtu binafsi, diet kwa ajili ya watoto, kupunguza/kuongeza uzito, wazee, magonjwa ( kisukari, moyo,mifupa) tunakutengenezea mpango, tunanunua kisha tunaleta hadi mlangoni kwako, kuipata huduma hii bonyeza >>>>.