Tunao watoa huduma makini kabisa wanaoleta bidhaa zikiwa bora na fresh, haya ni makundi ya bidhaa tulizo nazo.
Tunao samaki wa maji baridi, chumvi na kutoka kigoma, pamoja na hao zipo dagaa na Vibambala n.k
Soma zaidiTunazo nyama aina zote, nyama za kuku ( kienyeji na kisasa) ng'ombe, iliyosagwa, soseji n.k.
Soma zaidiTunao watoa huduma wenye kuleta matunda ya msimu na yasiyokuwa ya msimu yenye ubora na afy kwa ajili yako.
Soma zaidi