Sokohost tunatoa huduma ya kukununulia bidhaa za jikoni zilizo bora kabisa na kukuletea hadi mlangoni kwako, tunatambua ugumu wa kwenda sokoni mara kwa mara kutafuta bidhaa bora, lakini kupata zilizokuwa fresh, usijali tena kuhusu hilo tupo hapa kuhakikisha unapata kilicho bora na kukuletea hadi mlangoni kwako kwa gharama nafuu kabisa, wewe ni mteja wetu ikiwa:-
Unahitaji bidhaa bora na fresh kutoka sokoni
Unahitaji kuboresha afya yako kwa bidhaa halisi
Hauna muda wa kutosha kwenda sokoni kila mara
Soma zaidiTunao watoa huduma makini kabisa wanaoleta bidhaa zikiwa bora na fresh, haya ni makundi ya bidhaa tulizo nazo.
Tunao samaki wa maji baridi, chumvi na kutoka kigoma, pamoja na hao zipo dagaa na Vibambala n.k
Soma zaidiTunazo nyama aina zote, nyama za kuku ( kienyeji na kisasa) ng'ombe, iliyosagwa, soseji n.k.
Soma zaidiTunao watoa huduma wenye kuleta matunda ya msimu na yasiyokuwa ya msimu yenye ubora na afya kwa ajili yako.
Soma zaidiTunatoa huduma kwa wateja maalum wenye uhitaji ama changamoto ya afya kwa kuwatengenezea mpango wa chakula (diet) kulingana na uhitaji, kwa ngazi ya familia na mtu binafsi, diet kwa ajili ya watoto, kupunguza/kuongeza uzito, wazee, magonjwa ( kisukari, moyo,mifupa) tunakutengenezea mpango, tunanunua kisha tunaleta hadi mlangoni kwako, kuipata huduma hii bonyeza >>>>.
Zipo sababu nyingi za kutuchagua hapa chini ni chache kati ya nyingi.
Maono yetu ni kutengeneza na kuhakikisha tuko na jamii yenye afya bora, ili kuongeza nguvu kazi ya taifa na jamii kwa ujumla tunahitaji afya bora sio kwa kula chakula ila kula chakula bora
Afya kwanza, utamu baadae kauli mbiu yetu inakupa sababu ya kuifikiria tena sahani yako ya chakula, huduma yetu na bidhaa zetu zinalenga kuboresha afya na kukupa kilicho bora.
Malengo ya sokohost ni kuhudumia watu wengi zaidi ndani na nje ya nchi kwa kuhakikisha alieenda sokoni na aliehudumiwa na sokohost basi wa sokohost awe na kilicho bora zaidi.
Vipaumbele vyetu kwa kila oda ni Afya, ubora, muda na mlaji mwenyewe.